GPLWakimaliza mazoezi kwa staili ya aina yake.
Wachezaji wa Simba leo asubuhi
waliendelea kujifua kwenye uwanja wa Kinesi uliopo Ubungo Jijini Dar kwa
ajili ya kujiweka sawa na mechi zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara
ambayo inaelekea ukingoni.Chanzo GPL
No comments:
Post a Comment