MGIMWA APEWA B ARAKA ZA USHINDI JIMBO LA KALENGA
Sista
Paula Msambwa akimuombea ushindi mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo
Jimbo la Kalenga, Geodfrey Mgimwa, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
leo, Tosamaganga, jimboni humo.
Sista
Paula Msambwa (73), akisalimiana na mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kwa
tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa baada ya kuwasili kwa ajili ya mkutano wa
kampeni, katika Ofisi ya CCM, Tosamaganga, leo, Machi 10, 2014. Sista
Paula amesema alimfundisha baba wa mgombea huyo, Marehemu Dk. William
Mgimwa katika shule ya msingi Tosamaganga miaka 50 iliyopita.
No comments:
Post a Comment