Thursday, 13 March 2014

MLIPUKO NEW YORK - MAREKANI WAUA 6 ,KUJERUHI 74


Magari ya uokoaji yakiwa eneo la tukio kutoa msaada.
Wanausalama wakijaribu kuzuia moto baada ya mlipuko.
Taswira kutoka neo la mlipuko huo.
Mmoja wa majeruhi akitolewa eneo la tukio .
Mabaki ya majengo yaliyobomolewa baada ya mlipuko huo jijini New York, Marekani.
WATU sita wamepoteza maisha wakati 74 wakijeruhiwa baada ya gesi kuvuja na kusababisha mlipuko ulioporomosha majengo mawili katika eneo la Manhattan Jijini New York, Marekani hapo jana! Majeruhi wote 74 wanapata matibabu katika hospitali nne jijini humo.
chanzo GPL

No comments:

Post a Comment