
Mwananchi
ambaye jina lake halikufahamika, alinaswa na kamera yetu leo akiwa
amelala fofofo Mtaa wa Garden Avenue, maeneo ya Posta.
MWANANCHI ambaye jina lake halikufahamika, alinaswa na kamera yetu
leo akiwa amelala fofofo Mtaa wa Garden Avenue, maeneo ya Posta huku
watu wakimpita na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Haikujulikana
iwapo mtu huyo alikuwa na matatizo yoyote au la.
CHANZO GPL
No comments:
Post a Comment